DaycareMIS
DaycareMIS Wazazi & Daycare Advocate
Wazi Kwa Wazazi • Omba Daycare Yako Itumie Mfumo

Je, Daycare ya Mtoto Wako Bado Inatumia Madaftari ya Karatasi?

Unahaki ya kupata amani ya moyo kila siku! Pendekeza DaycareMIS kwa Mkurugenzi au Mwalimu Mkuu wa Daycare ya mtoto wako leo na uwasaidie kuondoa usumbufu wa madaftari.

Njia ya Haraka: Tuma Ujumbe Huu kwa Mkurugenzi / Daycare Owner

Gusa kitufe kifuatacho kutuma ujumbe wa amani ulioandaliwa tayari kwenye WhatsApp.

Habari Mwalimu / Mkurugenzi 👋, Ningependa kukushauri utazame mfumo wa kidigitali wa DaycareMIS (https://daycare.rehospace.com). Mfumo huu unatusaidia sisi wazazi kupata SMS papo hapo mtoto anapofika shuleni na unawasaidia ninyi kurekodi ada na mahudhurio kwa urahisi kwenye simu. Unaweza kujaribu mfumo bure hapa: https://daycare.rehospace.com

Eneza Ujumbe Huu Kwenye Mtandao Wako:
Manufaa Halisi Kwa Wazazi

Kwa Nini Wazazi Wote Tanzania Wanapenda DaycareMIS?

SMS Asubuhi na Jioni

Unapokea ujumbe mfupi wa SMS mara moja kwenye simu yako mtoto wako anapowasili shuleni na anapokabidhiwa jioni kwenda nyumbani. Hakuna hofu wala simu zisizo na majibu!

Risiti za Ada Papo Hapo

Unapolipa ada kupitia M-Pesa au Benki, unapokea risiti rasmi ya SMS yenye salio sahihi. Hakuna ubishi wa "ulinipa au hukunipa" wala karatasi zilizopotea.

Usalama wa Mtoto 100%

Mfumo unahifadhi picha na taarifa za walezi walioidhinishwa na mzazi tu kumchukua mtoto. Hakuna mtoto anayepewa mtu asiyotambulika getini.